Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nje zimejaa ila ndani pia zinatembea,zamani meli ilikua inakaa nangani hadi siku 10,sasa hivi siku 3,bado speed sio nzuri ila at least
Siku 3 nangani unamaanisha wapi? Pale inaposhusha au kule nje ya bandari? Kule nje any time T kuna meli si chini ya 20. Sasa niambie ile meli ya 20 itakaa siku tatu kabla ya kuondoka? Obama avenue na Toure drive napita kila siku hizo meli huwa naziona kila siku. Meli ambayo haikai zaidi ya siku 5 ni ya magari kwasababu ina sehemu yake maalum kushusha ma kwa wiki zinaweza zisizidi mbili kuingia bandarini.
 
That's an isolated case. Draper acquired that Island/land as an investor. Foreigners do not own land in Tanzania. Under normal circumstances one can sell his/her plot,farm,house whenever they wish.
Was it witheld from him beforehand? Because Mr Draper seems to be a good investor, I highly doubt that such critical information could’ve been overlooked during due diligence..
You want to say its a case of oversight?
 

Moored meli 22,hapo including tanker,container,bulk career na roro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…