Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

no wonder they are always poor 😂 😂 yaani watu wanakuja wanapiga ela wanaondoka wao wanaita FDI 😂😂😂

View attachment 3670495
Nishaenda mombasa na lamu,2017,wenyeji wangu sikuwakuta hata wamepika chakula,ni njaa,thanks God yule binamu yangu aliachika kule lamu na aliporudi mombasa akukaa sana life likamshinda now yuko zenj anapambana,kenya kuna umaskini mkubwa mno,Tanzania tuna umaskini wetu lakini hatujafikia ile dry hata ya kukosa uhakika wa kula,lamu unaweza kukuta mtaa mzima hawajala mchana 🥲
 
we jamaa unazingua, eti mtaa mzima haujala mchana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…