mombasa254
JF-Expert Member
- Dec 2, 2017
- 1,026
- 215
We...lakufa.wacha kujisumbua.nenda kamuulize mrwanda ama mganda...tz na Kenya. Ni gani kusemaSiku ile Kenya itaipita Tanzania kwakuwa na low rate of unemployment ndiyo nitajua Kenya inaendelea, ila kuwa na millionea wachache wakati millions ya wananchi wanaishi bila ajira na ukosefu wa chakula, bado Kenya itaendelea kuwa nyuma ya Tanzania kwa muda mrefu sana. Maendeleo lazima yapimwe kwa wingi wa watu wanaofaidika, sio watu wachache kama Kenya, mtaendelea kuwa na high rate of poverty, crime and hunger because of unequal distribution of your national resources.
1)Unemployment rate, Tanzania 26%, Kenya 48%Eti Tanzania imeipiku Kenya kwa nn....niambie.... Jamaa was wivu
Tz generates 1350 MW while bitumen roads are only 1500km.1)Unemployment rate, Tanzania 26%, Kenya 48%
2)Tanzania produces food more than it needs, Kenya depends on food donations
3)Tanzanians majority have access to safe drinking water, in Kenya even Nairobi there is no enough water
4)Tanzania has better and modern public Hospitals, Kenyatta Hospital and other Government hospitals are there only to give birth and death certificates and to rape lactating mothers
5)Tanzania economy grows at 7%, Kenya 5%
6)Tourism revenue is four times that of Kenya
7)FDI is more than three times that of Kenya
8)All regions in Tanzania are connect with tarmac roads, Northen Kenya, no roads. Tanzania has built many roads than Kenya
9) Many Tanzanians are connected with electricity than Kenyans
10)Tanzania debts is 36%, Kenya is 56%
The list is endless...
Reginald Mengi worth $560M (Mchaga tajiri ya uhuru kenyatta )economy ya Tanzania imeshikiliwa na Omani Arab citizens who happened to have settled in tanganyika.....The Bakhresa and the chain of Arab families.....wachagga na sukuma kitu wanaweza fanya ni hawking na kuwa maids.....elimu pia hawana...lakini wanaweza sema.. "mungu uirinde Tanzania"......
Akili yako ni ndogo huwezi kuelewa mambo mengi, Tanzania generates 1460MW, but it requires only 1350MW, so we produce more than what we need. I am talking about the ability of transporting electricity from points of generation to consumers, that is the area where you create utility of electricity, Kenya produces more electricity but can't transport to the consumers, that is electricity connectivity, Tanzania 70%, Kenya 63%Tz generates 1350 MW while bitumen roads are only 1500km.
Kamdanganye bibi yakoTanzania will never catch up with Kenya even in 100 years. Apart from Dar nothing happens in other towns. Arusha, Moshi, Mwanza ni maduka ya nguo na duka za kawaida tu. Google about Mombasa, Machakos, Nakuru, Eldoret, Kisumu, Thika, Kisii, Meru, Naivasha, Nyeri, Malindi ndio mtakubali Kenya is a powerhouse.
East Africa’s dollar millionaires 2016
- Business Daily (Kenya)
- 13 Nov 2017
KENYA HAS MORE DOLLAR MILLIONAIRES THAN UGANDA, TANZANIA AND RWANDA COMBINED
Andaa makala uuze copy ,Ujinga Ni kitu cha asiliTz generates 1350 MW while bitumen roads are only 1500km.
HahahahahahahaAkili yako ni ndogo huwezi kuelewa mambo mengi, Tanzania generates 1460MW, but it requires only 1350MW, so we produce more than what we need. I am talking about the ability of transporting electricity from points of generation to consumers, that is the area where you create utility of electricity, Kenya produces more electricity but can't transport to the consumers, that is electricity connectivity, Tanzania 70%, Kenya 63%
Wakenya wamepoteana humu
Andaa makala uuze copy ,Ujinga Ni kitu cha asili