We will pay back for sure!Most Tanzanians affected are omba omba β¦ in Thousands β¦π€―π€―π€―.. Kenya definitely the United States of East African region ( Hata Ethiopians are everywhere )β¦ I say if they straighten up their papers and join the tax system , Let them stay .. more Revenue for KRA ..View attachment 3666145
media uchawara hioWe will pay back for sure!
Road to poorerism ππππroad to $1 trillion
wanamsingizia tu, kwa washawahi kua matajiri π€£Road to poorerism ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DdEL8TkiOUB/?stkn=aWc3eTJobWJiYzM2
Acha kutetea mauzauza.Kumbe na wewe ulibebwa na hizo story za vijeni kwamba alifeli shule ,,πππ BTW kuna president yoyote toka hii nchi ianze ashapeleka nchi kwenye trade surplus ya mauzo ππππ
mwingereza nae kaharibu?whats wrong? π€£π€£π€£ isnt this a world class cow shed? π€£π€£
View attachment 3666710
View: https://x.com/K24Tv/status/2097317118475747815?s=20
Hizo ni siasa za kawaida infact she graduated PHD yake some few years back, however also ata ingekua kwel kafeli sidhan kama ni issue kiasi icho, kwan wapo wengi tu hata hio phd yake hawakufika na wana mafanikio makubwa sana, wengine ata primary hawakumalizaAcha kutetea mauzauza.
Ukiachilia mbali kuwa hii historia yake ni open secret, hata yeye aliongea hili kwenye hotuba yake sema aliliweka kisanii kuwa:
"sikufabya vyema kwenye masomo yangu, primary na secondary"
Duh! unapinga mpaka ushuhuda wa muhusika!??πππ
mwingera wap, alishasema kabisa pitch ni mbovu toka mda, jamaa mmoja alienda kumuuliza eti do you think our pitch is same standard, aliangaliwa mpaka akakosa pozi π€£ π€£ hii ni tripu shamba gerej wiki nzimamwingereza nae kaharibu?
yaaani ni mwendo wa viraka π€£π€£π€£π€£ alafu stadium ipo mjini kabisa (KAPITO CITY)Sis tumeshaanza kuweka hadi barabara za lami, wanuka mavi wao bado wanahangaika na pitch. πππ sisi hao. View attachment 3666893View attachment 3666894Vs wanuka mavi hao ππΎView attachment 3666896viraka stadium. πππ