chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
UnajiaibishaSo you are using Gurú as your legit and ultimate source … you are such a useful idiot .
I have been to a concert in a stadium at night and Yes the entire arena was like a night club …
They are showbiz lights …
Ushamba ndio mingi kwenu … 😁😁
imepigwa ❎ infact they said toka february mpaka saahv ni only 10% work and they have 3 more months to complete the remaining 90% ikiwemo kuvunja upande mmoja na kuweka skybox 🤣🤣🤣Kwn caf wameikataa kasarani
Ebu tuwaheshimu Burundi kidogoKenya ni burundi aliyechangamka.
Wanajisifia GDP kunwa.
Pesa ina thamani kubwa.
Wanashindwa kujenga kiuwanja kimoja.
Wanauana kwasababu ya Ugali.
Wanaishi kwenye nyumba za Mabati za kupanga.
Wakunya wana shida gani??
View attachment 3663701
kwahio jamaa alijua atakuta kama zile filters 🤣 🤣
yaani anajitahidi lakini wap 🤣Unafosi hii picha iwe mbaya auuu, sijakuelewa mzee.
Kiwanja kimoja alafu kinawashinda,huku wakifurahia disco lights kujiliwaza🤣🤣Watu wa kiwanja kimoja!
Kwan did we tell you we are in EAC to follow goonism? 🤣🤣🤣🤣 we have kept it straight only BIZNEZ nothing outside that na hio northern corridor amna anaewataka, Ethiopia and djibouti are now husband and wife, south sudan ndo hao wamewaambia bila visa msionekane na hizo forehead kule, infact they are now using Dar por, so who else remained? 🤣🤣🤣 even your dear Uganda will connect straight to tanzania SGR 🤣🤣🤣🤣🤣My take is in the oven baking .. After M7 son take over Uganda and Mama retains power for another term , EAC will be over . The Northern corridor is our insurance…
mwaiofhawaii anazipenda balaa 🤣🤣 namuonea huruma anavosifiaKiwanja kimoja alafu kinawashinda,huku wakifurahia disco lights kujiliwaza🤣🤣
Ni maneno gani nimeongeza hapo Kilaza?acha kuongeza maneno ya kujifariji alafu shida nn hutak kuweka picha ya pitch nzima 🤣 🤣 is that too much to ask? 🤣
kwan is that a tough question ilikua, umeambiwa weka picha ya full pitch kijana au ni swali gumu sana 🤣 🤣Ni maneno gani nimeongeza hapo Kilaza?