Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



angalia the lines za upande wa goli alafu angalia and where the rest of the machine lines are headed πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ alafu mbna nlishakueleza mapema ni goal posts, akimaliza apo pemben na katikati kidogo kamaliza, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Teargass ndo alikua anawaambia inapigwa stadium nzima
 
Look where the machine lines are headed πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Are they headed to masidisi benzi stadium? 🀣 🀣 🀣

Now tell me where these machine lines are headed. Why are they in the opposite direction and at the center of the pitch?

Upo desperate for no reason Nyamwezi.

Baada ya kuona stitching machine katikati ya uwanja where you said stitching will not happen sasa wimbo umebadilika hewani!
 
Moshi πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Your browser is not able to display this video.
 
umepost mwenyewe alafu unaikimbia πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ , btw nlikwambia apo ni upande wa goal na few sections katikati pamoja na pemben wamemaliza πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bila kusahau jamaa wanafanya kazi kwenye grass mbovu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You are ignoring the main reason why I posted that picture. Kijana wa Tandale, nilikuuliza ni nini hiyo stitching machine inafanya hapo katikati ya uwanja after you told us that stitching haitafanyika eneo hilo la uwanja. Instead of answering this question, umeanza kutoa povu na kubadlisha gear hewani. Unaona ulivyo kilaza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…