how about for every anaekaa slumFor every one person mwenye anapotea Kenya, wanapotea 50 Uganda na 100 Tanzania na 120 Rwanda.
is mukuru gone?
hujajibu swal, are slums gone in mukuru?
Huwa wabapenda kujifariji kwenye hamna, hapo unakuta wanaibana angle ili isionekane kwa ukubwa, baada ya hapo wanakuambia slums gone, ss mgeni akienda anakutana na disappointment ya kufa mtu.hujajibu swal, are slums gone in mukuru?
Dangote kaingia choo cha kike!
Kwa hivo wewe Geuza unaelewa biashara kumliko Dangote?Dangote kaingia choo cha kike!
Una Ushamba sana … that’s why you misuse the English language with phrases like that … Kwani what’s so special about this ?.. you think Kenya has none like that … we built such way before you decided to copycat ( with electric version just for ego reasons)…🤣🤣🤣🤣
As always the question the never want to answer 😂Huwa wabapenda kujifariji kwenye hamna, hapo unakuta wanaibana angle ili isionekane kwa ukubwa, baada ya hapo wanakuambia slums gone, ss mgeni akienda anakutana na disappointment ya kufa mtu.
tunaita mtumbwi wa vibwengoDangote kaingia choo cha kike!