Street Hawker
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 708
- 1,188
Tanzania ina viwanja vitatu, kenya wana kiwanja kimoja, uganda nao wana viwili lkn viwili vyenyewe jua kali, unategemea nn?tushakwambia tunapokea malalamiko π elezea sasa malalamiko yako vizuri
View attachment 3658683
Which stadiums do you have to host matches mingi?πππ€£Lkn mbn hata kwa utashi tuu wakawaida unadhani Kenya au uganda ita host match nyingi kuliko Tz?
4 stadiums not 3Tanzania ina viwanja vitatu, kenya wana kiwanja kimoja, uganda nao wana viwili lkn viwili vyenyewe jua kali, unategemea nn?
BTW did you listen to motsepe saying the opening match will be in tz π πWhich stadiums do you have to host matches mingi?πππ€£
Tanzania will have 2 Stadiums
Uganda 3 Stadiums
Kenya 3 Stadiums
Mbn tushatoka huko mzee, siku hz kuna fvs ambayo kiwanja kama hicho hakina hadhi ya kutumia huo mfumo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Ebu taja those 3 Stadiums that Tanzania have.Tanzania ina viwanja vitatu, kenya wana kiwanja kimoja, uganda nao wana viwili lkn viwili vyenyewe jua kali, unategemea nn?
Matusi hayana tija, tumia hoja.Ambia mamako akununulie simu mzuriπ π€£π€£π
Opening match inachezwa sehem kwenye world class transport infrastructure madame ππ btw he even said it will be in tzKingereza ndio uloshindwa kuelewa? And by the way, if you look at all stadiums in Tanzania and Uganda. Which one CAF choose ahead of Talanta to host Opening and Finals?
Ama unataka wachague hii penye Lazima utume darubini?πππ€£
View attachment 3658697
He asked a rhetorical question. Unaelewa kingereza kweli?ππ€£π€£π.BTW did you listen to motsepe saying the opening match will be in tz π π
View: https://youtu.be/8iOT6l7UFfA?t=1862
ππππππππππππ
ππππ ongeza na nyayo ziwe 4Ebu taja those 3 Stadiums that Tanzania have.
Kenya we have
1. Talanta Stadium
2. Kasarani Stadium
3. Kipchoge Keino Stadium.
Sio matusi bro. He is living with his mom for realπππ€£Matusi hayana tija, tumia hoja.
ndo wish yake sasa, ππππ however after the talks Uganda was more favored πππHe asked a rhetorical question. Unaelewa kingereza kweli?ππ€£π€£π.
Tanzania only have Makwapa Stadium which hata CAF hawako sure kama they will approve it ππππππ ongeza na nyayo ziwe 4
Ooohh nilikuwa najiuliza Tanzania 4 venues zinatoka wapi, nilisahau na Amani stadium.
So, is it Uganda ama Tanzania? You are confused young manπ€£π€£πndo wish yake sasa, ππππ however after the talks Uganda was more favored πππ
Hujazoea tu mtu alietoka kwenye slums ππ hii ndo simu yake, lipa mdogo mdogo unategemea nn ππMatusi hayana tija, tumia hoja.
Amani is a training ground kijanaπ€£π€£πOoohh nilikuwa najiuliza Tanzania 4 venues zinatoka wapi, nilisahau na Amani stadium.
Uzuri inatoa screenshot safi kuliko hiyo simu yako mbaya of 2GB memory π€£ππHujazoea tu mtu alietoka kwenye slums ππ hii ndo simu yake, lipa mdogo mdogo unategemea nn ππ
View attachment 3658704
4 stadiums, half of the tournament the rest share whats remaining, however we are backing uganda for the opening japo motsepe alitaka iwe bongo, kwakua ni Uganda sisi wala hatuna shidaOoohh nilikuwa najiuliza Tanzania 4 venues zinatoka wapi, nilisahau na Amani stadium.