Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unauliza majibu tena 😂😂 and how much does GOK remain with after paying the loans kwenye budget vs how much does tanzania remain with 😂😂😂
Hakuna kitu huwauma kama kuwaambia ukweli kuhusu uwanja kienyeji waliojengewa. 😂😂😂
Wakati Tanzania tukisherekea ujenzi wa SGR zaidi ya Km 2,000 na kukamilika kwa bwawa kubwa la kuzalisha umeme JNHPP 2,115MW wao wanasherekea uwanja wa mpira ati tunawaonea wivu wakati Tanzania tunajenga viwanja vipya vitatu FIFA standard.
 
hujaona jinsi Teargass anapiga kazi kuubrand apa 😂 😂 watu wanamwangalia wanacheka

View: https://x.com/Wiki_Kenya/status/2088005465011818978?s=20
 
If projection was a person…You are the king at projecting…
You are the originator of kuhepa …
Wapi foldable seats kilaza
Hakuna mambo ya nyasi tena
🤣🤣🤣🤣🤣
mm mbna sjahepa kila sku npo apa, wewe ulivosema ccm wanaandika news za electricity ulivojibiwa what happend 😂 😂 six months hauonekan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…