Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

But the stadium looks BOXY sio futuristic, and has the ugliest seats in the milky way
But the stadium looks BOXY sio futuristic, and has the ugliest seats in the milky way 🀣🀣
Karma is a biach! 🀣🀣
 
Alafu na zile kelele zao Arusha remains the only stadium without a VIP section

View attachment 3652392
Why did they make the running track that gigantic! Nyayo from 1980’s has one but surely not that humongous. This part is big enough to fit 2 β€˜Stendi’ and still fit the running track.
 
Interestingly, leo hii wanasema Fumba Stadium is their best stadium. Kumbuka hiyo fumba stadium is a poor replica of Talanta - the same Talanta yenye wanasema ni mbovu.
Shida yako ni kuongea uongo, acha kuongea uongo kwenye discussion zenye tija, yani unadanganya ili uonekane umeshinda.? Hii ndio tofauti yenu na sie.
Arusha design is the best in this region although it has running track lakini Fumba stadium is also better than your Talanta stadium from the technology they used to install teraces etc. Tusibiri viwanja vyetu viishe tgen tuje hapa kama huu uzu hautokua mchungu kwenu. 🀣🀣🀣🀣
 
Interestingly, leo hii wanasema Fumba Stadium is their best stadium. Kumbuka hiyo fumba stadium is a poor replica of Talanta - the same Talanta yenye wanasema ni mbovu.
Kwani wameachana na Masidisi Bensi Stadium tena?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Let me remind this stupid kundurendans. 🀣🀣 Arusha stadium unajua kwanini mjadala wameuhamishia kwa running track.? This is the only reason. 🀣🀣🀣
 
Fumba stadium is also better than your Talanta stadium from the technology they used to install teraces etc.
Technology yenye tinanunua kujenga our county Stadiums ndio unajipiga nayo kifua?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡

Hii ni Kamariny Stadium under construction and is using your supposedly "better technology"πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…