Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Zanzibar hawajaachwa nyuma na kasi ya maendeleo ya miji ya Tanzania bara. Huu mradi wamezindua leo.
 
Sitaki kuamini kutokea wanatuzidi miradi hadi hatua ya kukanusha. 😂😂😂😂 kichapo ni kikali sanaaa.
 
Talanta stadium skybox. 😂😂😂😂😂😂. Design ya hii room imakaa ki foo Sana. Ati ni chumba ya jela. ? Hizo wameeka hapo juu ni gypsum boards. 😂😂😂
Mtu mmoja anasema eti walipewa tender Double elephant Tz. 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…