KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
nimekupea nyayo bro kua mpoleNairobi mmekimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa dharau
Nyinyi mji wenu mdogo kubalini
Bado majengo kibao sijayashusha mmekimbia
Ndo mjione mji wenu ulivyo mdogo wenye majengo machache
Hii ndo Dar hamjatushinda chochote
Labda flyover tu
Ila kwanzia leo muwe na heshima kama mlivyokimbia battle
Sisi wanaume
Tumeanza kupost jengo na tumemaliza kupost jengo inaonesha jinsi gan tunawadominate
Na apo majengo kibao bado cjapost
This is twin city
Na still kwenye fly over wakae mkao wa kula tupo moto balaa na hio modern electric train ishaanza ujenzi sasa with a speed of 160 km per hr hahahahhNairobi mmekimbia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kwa dharau
Nyinyi mji wenu mdogo kubalini
Bado majengo kibao sijayashusha mmekimbia
Ndo mjione mji wenu ulivyo mdogo wenye majengo machache
Hii ndo Dar hamjatushinda chochote
Labda flyover tu
Ila kwanzia leo muwe na heshima kama mlivyokimbia battle
Sisi wanaume
Tumeanza kupost jengo na tumemaliza kupost jengo inaonesha jinsi gan tunawadominate
Na apo majengo kibao bado cjapost
This is twin city
ha haa kweli antens utadhani analogiaAfu andiken number of floors urefu wa majengo yenu ni kwasabab ya hizo antena
Yaan hawa miaka mitano tunapitaaaNa still kwenye fly over wakae mkao wa kula tupo moto balaa na hio modern electric train ishaanza ujenzi sasa with a speed of 160 km per hr hahahahh
Nyc nilijua umekimbia
Samora tower dsm 24 floors
Mnalilia height maana mnajua kamchezo kenu eehhheight not floors.
please
Munatuekea mstimu juu alaf unasema heights acheni ujanja hapa twende kwenye uhalisia wa kitu bongo hakuna ujanja wa majengoheight not floors.
please
hahaa...achana nao hawa.imebidi niifanye kidogo hii kaziYaan hawa miaka mitano tunapitaaa
Twende kwanza kwenye uhalisia wa kitu hahhahhaha bongo hatariiiiiianalog!!
Modern buildings ziko na antenna..angalia za Dubai, Abu Dhabi,shanghai, new York, London..
Alaf hapo kuna majengo mawili wajue hvo
Mafuta house 24 floors
Mafut
kcb 24 floors
Dar inaumiza kichwa 😀😀😀Some floors hujengwa 3metres zingine 4metres,
Sijui mnataka kuelewa aje