Endelea Tu kupost render, hakuna mwenye amekuzuiaππUshamaliza kubisha niendelee.? πππ
sema mwanaetu una roho ya slum π π video imeonyesha building na construction site ila hutak tukupangie self happiness, yaani wewe unataka kila siku tupost video za Master mwanaetuEndelea Tu kupost render, hakuna mwenye amekuzuiaππ
sjui kamaa kenya walimfanya nn anaipenda bongo na rwanda saaahv
Yani Rostam Aziz amlilishe Elon Musk Lisa Hela. Hiyo ndio logic yako.ππMaandishi ya mtu anaetaka kulia ninayajua. πππ usiomie kaka, zoea Dar. Ulidhani mnajenga nyie tu eeh.?