Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So uko na picha za renders kwenye gallery yako lakini ukiitishwa progress ya hayo majengo unaleta povu 🀣🀣
Alafu unataka kutuamini? Ndio maana nilisema hayo majengo mnazijenga ila kwenye ndoto tu!!
 
I counted 18 floors and they've already topped out 🀣🀣🀣
Ni wapi nimeandika hizo buildings ni 20 floors au unatafuta kidogo nafuu. .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani haujaona buildongs za 20 floors nilizopost.?
 
Ni wapi nimeandika hizo buildings ni 20 floors au unatafuta kidogo nafuu. .? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwani haujaona buildongs za 20 floors nilizopost.?
We were comparing 20+ buildings. Anything below that is not worth mentioning
 
We were comparing 20+ buildings. Anything below that is not worth mentioning
Niambie kama unataka nafuu kidogo upumue. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Ile list niliyopost ni ndogo, nakusubiri mmalize kubisha then niendelee nilipoishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…