Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona mwenzako anakazana sio mkenya?πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
kwan kuna mtu kabisha, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwan hata wewe huezi kuomba citizenship ya uganda na ukapewa ili biashara zako ziende πŸ˜‚
 
Hawa wanyamwezi mara ya mwisho walitushinda ni 16 years ago tena ilikuwa ni mechi ya kirafiki πŸ˜‚πŸ˜‚
ningekua mm ni wewe ningeona aibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ using a 10 year old match as reference πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Haya tupee any match your senior Team defeated Harambee starsπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
By the way mambo ya FIFA Ranking mliachana nazo?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
sasa FIFA mpaka mcheze international matches once per 4 years πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wakati rankings za kila mwaka za CAF zipo, btw kenya hawana refenrence ingine zaidi ya hio mechi 10 years back , SHAME πŸ˜‚πŸ˜‚
 
FIFA wanasemaje kwa rankings zao?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
ningekua mm ni wewe ningeona aibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ using a 10 year old match as reference πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aibu ni kwamba you've not beaten our senior team since then. Tumekuwa tukiwanyorosha kama wanyonge mlivyo hadi leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…