Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatujawahi kuwa na MoU na Morocco. Hayo yalikuwa mazungumzo ya chai ya mchana.
Back to topic, lini Ruto na Dangote wanata sign MoU ya Refinery?
kasema hajengi mpaka watume ile nigerioa kwenye IPO na kasema cha kwanza anataka kuexpand kiwanda chake 🤣🤣🤣 mafala yaliwezwa
 
Kama $17 bln ilikuwa 600,000 bps pigs hesabu $20 bln itakua na capacity gani?
1. Vitol is providing $2 billion not $20 billion.
2. $20 billion is the figure they say the total value of investment in the project could reach over a long time.

That $2 billion is for the refinery, supporting infrastructure and the storage tanks at Tanga.

 
Sasa hiyo blog kutoka Kundustan nani anaiamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…