Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya mmekimbia na mkia katikati ya miguu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huwezi linganisha Nairobi na Dar.
Dar haijapangwa.
Dar Chafu.
Pili Nairobi ina Migorofa acha bwana.
Supermakets kubwa acha hivi vya kwetu Tz vibanda eti supermarket.
 

hili ndio umepewa mwisho mkuu...ilikua bado wewe but nairobiwalker kaenda kujipumzisha.kesho mungu akipenda
Angalia sasa mmeishiwa na majengo adi mnaleta jengo lenye floor 18
Mi nilisema nyie ni minara tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mmekimbia
Na bado majengo kibao sijaweka
Inabidi muirespect dar


PSPF Golden jubelee 24 flrs
 
Usituekee mnara juu ukasema NAyo floor hhhahahaha twende Nazi hatoki mtu humu
 
apo upo sawa....kenya wanajitahidi sana kupiga mapicha pale kwenye kajiji kao ka nairobi .....kias cha kwamba kama hauijui nairobi utahisi ni bonge la jiji kumbe hamna kitu....
 
Huwezi linganisha Nairobi na Dar.
Dar haijapangwa.
Dar Chafu.
Pili Nairobi ina Migorofa acha bwana.
Supermakets kubwa acha hivi vya kwetu Tz vibanda eti supermarket.
Magorofa si ndio hayo munakimbia ovyo hapa hahahhhahahhh
 
Angalia sasa mmeishiwa na majengo adi mnaleta jengo lenye floor 18
Mi nilisema nyie ni minara tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mmekimbia
Na bado majengo kibao sijaweka
Inabidi muirespect dar


PSPF Golden jubelee 24 flrs


nyayo house 27 floors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…