That fantasy corridor of yours will never happen… and if it does it will be 50 yrs from now … mark my words 💯
Tanzagiza is an embarrassment for Africa..Ati mama ametubaliki na giza 🤣🤣🤣This guy nailed it
Ati Tanzania wanafanya nini 🤣
View: https://x.com/crazy_kennar/status/2028373468647940142?s=46
Hujui unachoongea. Kama kila Mtz angekuwa anampenda Samia hivyo basi usingeona kilichotokea October 29 mwaka jana, na pia sasahivi usingeona hii political tension in Tanzania.Tanzagiza is an embarrassment for Africa..Ati mama ametubaliki na giza 🤣🤣🤣
Mmeanza eti "Planned Greenery". Baada ya kujua nchi yenu ilivyo kame ndio mmekuja na hii foolish excuse 😂😂
Na bado, This is Dar es Salaam 🇹🇿 🇹🇿
View attachment 3643183View attachment 3643182View attachment 3643176View attachment 3643181View attachment 3643179View attachment 3643178View attachment 3643177View attachment 3643175View attachment 3643180
Sawa