nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,708
- 3,237
Waambie mna GDP kubwa, mnaongea kingereza kizuri, uchumi mkubwa na Turkana sio kenya bhaaas unakuwa umemaliza utawaibia unavyotaka. 😂😂😂Hii siku zote huwaga ndio shortcut yao and quick response kwenye issue yoyote ya imbalance costs kati ya Tanzania na Kenya, huwa najaribu kutafiti midari ya hawa jamaa aisee wananchi wanapigwa nyingi mpaka huruma! 😂
Kuna wakunya humu walikuwa wanaitwa @Ton254 , @Mkikuyuakilitimamu na @Mwassast ndo pekee walikuwa na uwezo wa kukosoa kunyaland ikiona kuna jambo haliko sawa, mliobaki ni huzuni ati ni wazalendo! 😂😂😂Then You should be happy tz is not corrupt like Kenya and is supposedly surpassing it,
Those pictures shouldn't even bother you
The same way some Kenyans praise TZ mkifanya maendeleo yenu
Just tell urself Kenya is poor corrupt and arid where TZ is prosperous.