Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Ndo maana mnaambiwa hamjui biashara , Toka lini household expenses like shopping and the like zikawa part and parcel of businesss expenses ?
Hapo umewekewa miscellaneous expenses za 700 ambayo Iko inclusive na salary ya muuza chips baada ya zile gharama za kubwa kama stock purchase ( mafuta plus viazi), energy , kachumbari,
Hizo cost salaries huwezi kuweka fixed sababu street vendors hawalipwi mshahara ila wanajlipa kwa sahani zitazouzwa na inategemeana.
Wewe kwa hii 700 tsh ulitakiwa useme ni business costs zilizosahaulika ila sio kuleta personal expenses ambazo Zinatakiwa kuwa covered kwenye salaries.
62,000 ksh per month ni ndogo sana kwa tz ,
Yaan nyinyi bado sana kwenye business 500 tsh ni 25% ya price of plate huku cost associated zikiwa ni 75% of the sales price .
 
Eeeh! Kenya hela ngumu sana! TZS1.3m a month? Hata muosha magari hapa bar anapata. Yes net. And I'm not talking about franchise, I'm talking about local bars uswahilini. Leo nimeamini kweli maisha yenu ni magumu. Tzs 1.3m a month unaona ajabu. OMG.

Watu ambao wanachanganya matumizi ya binafsi na biashara Toka lini wakawa na akili.🀣🀣🀣
 
Naislum nayo ni jiji sku izi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…