You seem to have very good knowledge about kenya and its "affairs".While you are able to name almost half the counties in Kenya, I don't even know Tanzania iko na mikoa ngapi, let alone their names. You are taking a lot of your time and energy learning about Kenya and her people while you can't explain why your vountry is listed as an ldc. You could have used that same energy to pull your country out of Ldc instead.ukabila umesababisha nchi yao kuwa na maendeleo ambayo ni so marginalized.
mfano karibia miradi yote mikubwa ya kuijenga nchi, ilielekezwa katika maeneo ambayo yapo dominated na wakikuyu(central kenya).mfano ni thika road highway.
u-marginalization uliosababishwa na ukabila ndio chanzo kikuu kilicho sababisha baadhi ya county kuwa nyuma sana kimaendeleo kiasi kwamba kamwe huwezi wasikia wakizitaja kwenye thread.
mfano ni
kakamega county
kilifi county
mandera county
garisa county
taita taveta county
kwale county
makueni county
west pokot county
baringo county
bungoma county
siaya county
busia county
turkana county.
hayo ni maeneo ambayo kiasili siyo sehemu ya wakikuyu.
punguza hasira... [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]What about Tanzania?
laiti kama hizo counties nilizotaja hapo juu zingekuwa na maendeleo yoyote ya maana, msingekaa kimya. lazima mngekuwa mnazizungumzia hapa kwa thread.
hata siku moja hatujawahi kuwasikia mkizitaja.kila siku mnaitaja nairobi, eldoret na nakuru(kikuyus and kalenjin dominated areas).
hizo ndio zile counties zilizojaa umasikini na ufukara usio na kifani.
kama vipi tuonyesheni miji ya hizo counties. tuonyesheni rasilimali zilizopo, tuonyesheni development opportunities zilizopo.
tuonyesheni availability of basic needs like food and social services like hospitals.
i'm waiting.
leta hapa kwa thread. kama hamna kaa kimya.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]just go to the Kenya government portal and see what the county governments are doing.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona eldoret pameiva sana
cc colloh mzii[emoji5]
And let me inform you because you appear ignorant.... With devolution every county have significant amounts of money that they can develope themselves..infact counties which appear more marginalized get more money from the share of national budget in what we call equalization funds..and then let's look at the biggest projects the government is carrying (that is Sgr and lapsset) show me apart from Mombasa and Nairobi where do these projects touch Nakuru, kiambu..........and the so counties you have mentionedkenyans, apart from nairobi, nakuru, uasin gishu, kiambu, nyeri, nyandarua, kirinyaga,murang'a, and kiambu county where the kenyattas and a small group of powerful elite in kenya comes from,i challenge you to show us any complited or ongoing construction project in these places.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
kakamega county
kilifi county
mandera county
garisa county
taita taveta county
kwale county
makueni county
west pokot county
baringo county
bungoma county
siaya county
busia county
turkana county.
go get your head checked.....apart from begging in Kenya there's nothing you can do in Kenya coz I have never heard a Tanzanian company in KenyaUganda yenyewe kuna askari wetu.. Hapo Kenya tumewapandikizia askari wetu pia bila nyie kujua
And let me inform you because you appear ignorant.
umemaliza?. which year was this?Let's show these nyangaus some few projects in kakamega county
Endelea kubishana sasa maana ndio utamaduni wenu huo.go get your head checked.....apart from begging in Kenya there's nothing you can do in Kenya coz I have never heard a Tanzanian company in Kenya
Mnaweka lami km 4[emoji23][emoji23] Tz lami inatandandazwa km 200 -300.. Eb toa hii..Let's show these nyangaus some few projects in kakamega county
Hapo sasanimemsikia sana hajui kama yeye ndio mgeni humu
Umetumia kigezo kipi?Katika regions nilizozimulika leo kuanzia [HASHTAG]#Morogoro[/HASHTAG] [HASHTAG]#Kigoma[/HASHTAG] [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] yote sio majiji (cities) ni mikoa ya kawaida lakini hakuna County hata moja kati ya hizo hapo juu zinaweza kucompate na one of them
Huu ni mtaro wa mavi Franklin speaking sijui kama nitaweza kula ugali wangu na kisamvu baada ya kuona hiviMazee nipo hapa Nairobi city center mathare valley sio kibera nipo mathare najufunza namna ya kuachana na LDC na how Kenya became MLDC Mazee
What's so interesting or unique about this region called manyara to even deserve a mention here? The above information revolves around population, polulation density, population growth rate...blahh blah blah. Let's be honest, how does the above information relate to development or uniqueness of a place to even mention it to the world? Things like population, population density, growth rate are very common statistics that even the smallest of villages have. Who lives in a town where the above statistics are not captured? Unless, of course, you come from planet MarsWakenya mbona mmetulia hivyo?? Naendelea kushusha marungu hata mkinuna. 😳
Now to [HASHTAG]#Manyara[/HASHTAG] [HASHTAG]#Tanzania[/HASHTAG]
Manyara Region is one of Tanzania's 31 administrative regions. The regional capital is the town of Babati. According to the 2012 national census, the region had a population of 1,425,131, which was lower than the pre-census projection of 1,497,555.[1]😛age 2 For 2002-2012, the region's 3.2 percent average annual population growth rate was tied for the third highest in the country.[1]😛age 4 It was also the 22nd most densely populated region with 32 people per square kilometre.
View attachment 678808 View attachment 678811 View attachment 678812 View attachment 678813 View attachment 678814 View attachment 678815 View attachment 678817 View attachment 678818 View attachment 678819 View attachment 678820 View attachment 678821 View attachment 678822 View attachment 678824 View attachment 678825 View attachment 678826 View attachment 678827
Najivunia kuwa MtanzaniaTanzania best sceneries ever made Tanzania the soul of Africa View attachment 678461 View attachment 678462 View attachment 678463 View attachment 678464 View attachment 678465 View attachment 678466 View attachment 678467 View attachment 678468 View attachment 678469 View attachment 678470 View attachment 678471 View attachment 678472
Mnaweka lami km 4[emoji23][emoji23] Tz lami inatandandazwa km 200 -300.. Eb toa hii..