Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ulipata Wapi hii habari? kwa kichwa yako?
View attachment 3638609

Meanwhile Bongolala SGR with 102,000 tonnes annually, 50 million wataiona 2126. 😂😂
Geza Ulole na concordile 101 hii ni aibu bin aibu.

LDC ata ipakwe mafuta na lipstick kudanganya wageni, kwa data bado itanyamba uLDC tu. 😂😂

And before you say "this is the first year" Kenya SGR did 3.5 million tonnes in its first year.



 
Kila siku tunawaambia humu ndani kuwa hawana priorities kabisa; hawa nyangau they always place the cart ahead of the donkey in everything they do. What is needed first is to create employment and a conducive environment for business; then, as the number of employed people and businesses increases, the demand for housing and other consumer goods will increase organically.
 
You don't have any luxury apartments in Dar Vumbi.
What you call luxury there belongs to Ruaka here.

Imagine pamoja na kuwa na kutokuwa na luxury apartments kama unavyosema ila watu wako willing kulipa twice the amount ya zile luxury apartments za kule kundustans , hapo hatujawaletea spending ya walevi pale wavuvi camp ambayo bill moja watu wanalipa 32mil au 1.2mil na Kila siku panajaa🤣🤣🤣🤣
 

Inaonekana hata kwenu kiingereza mmekariri. Ukiambiwa cumulative Ina maanisha Toka mmeanza huduma za sgr ndo mmefikisha hiyo 50mil tonnes.
Sasa unataka kuleta na comparison na tz ambao hizo 100,000 tonnes zilikuwa ni mizigo ya ndani bila kuwa na port link? Kumbuka mlikaaa mwaka mzima bila kutoa huduma ya mizigo mpaka mlipofanikiwa kuingiza reli bandarini , same kwa tz ambayo port link imeanza July ila kabla ya hapo ilikuwa ni loose cargo Toka kwa viwanda vya ndani.
🤣🤣🤣🤣 .
Same this tuje tufanye comparison ya December 2026 halafu tuje tu compare na nyinyi 2018 ambako kwa mwaka mzima mlisafirisha 900,000 mkiwa na link ya bandari🤣🤣🤣🤣
 
Yenu cummulative itafika 50m 2126. Ni kingereza hujaelewa watchman?
Kenya first year 3.5 tonnes
Bongolala first year 100,000 tonnes.

That's the only data you need kueelewa. Gari Moshi Kenya is doing X30 numbers on the slowest electric railway in the world. 🤣🤣
 
the same way they are building a stadium that will turn to toilet after AFCON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…