Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Magoli zishaabadilishwa. Wadanganyika bana.😂😂😂
 
Angalia maisha ya Zanzibar watu wake na amenities walizo nazo. Then linganisha na Kisumu.

Hapo kama ni kuhamisha magoli labda ukimbie wewe tu.
Hebu taja hizo amenities we compare notes
 
Angalia maisha ya Zanzibar watu wake na amenities walizo nazo. Then linganisha na Kisumu.

Hapo kama ni kuhamisha magoli labda ukimbie wewe tu.
Nah bruh.
You started the argument by comparing GDPs, I proved to you that Kisumu is actually doing better than Mbeya in terms of GDP with facts.
Then you went on to ramble how Kisumu is too small to have a population of 1 million and claimed that we have no family planning on Kenya. I proved to you that Kenya has in fact the highest family planning success in East Africa and proved to you that Zanzibar has more people per sq. Km than Kisumu With a lower GDP per capita, yet it is one of your main economic zones. Sasa umehamia kwa slums. Zanzibar yenyewe hiyo kwa picha, 90% slums.😂😂
I was prepared to walk you through this particular issue, but your silly sealioning response suggests the effort would be entirely wasted. You've shown little capacity for understanding the subject, so I'll leave you to your preferred version of reality. Have a good day.

 
Wakenya hizo GDP zenu ni fake economy. Coz nchi yenu mna matatizo kuliko sisi. Kenya ina umasikini ambao huwezi kuupata anywhere in Tanzania
Mfano njaa kwa millions of people. Sasa hiyo GDP yenu inaenda wapi. Hata hapa I'm sure Zanzibarim watu wana maisha mazuri kuliko Kisumu. Nchi yenu ni ya ajabu sana, na inasikitisha
 
Zanzibar is better than Kisumu
Kwanza Zanzibar ni better than Mombasa, let alone Kisumu
 
They always move goal posts when cornered. Alafu huyu AMARII lazima ji mzanzibari. He ràrely comment or post in this forum. He's best know for being a "liker". Ila leo naona anatoa comments kisa homeground katajwa 🤣🤣🤣🤣
 

Unapotaka kufanya comparison unafanya ili ushinde au unaweka mizania sawa kila upande ili upate majibu sahihi?
 

Nilikuwa surprised na takwimu zako hapo. Ndio kilichonishangazaa... Kwamba Kisumu ni 2k sqkm na mko more than a million. While mbeya is sqkm 35k na wako 2 million.

So ndio maana kuna slums nyingi na pipelines maana Kuna watu wengi kwenye eneo dogo.
Wewe ndio umeanza kuruka ruka mara Hadi Japan, mara umeleta Zanzibar... But my point bado Iko clear... Hayo mabanda na pipelines ni kwa sababu Kuna uncontrolled population ambayo haiendani na maendeleo ya maakazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…