Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni jina la colonial master tuu ndio linapaka rangi lakini no difference na kawangware
sasa walitakiwa waparembe vizuri sasa paendane na colonial masters, sasa wale wazee wakirudi wanakuta mzigo huu apa

 
Speed ya train inategemea na rail ilivyojengwa wala sio umeme na hata mkiweka umeme speed haitazidi hiyo mliyonayo sasa maana ni design speed ya rail yenu hiyo mnayo milele.
Hivi hii discussion ya treni si tulishamaliza? Nakumbuka wakati inajaa siku za mwanzo walisema tukixoea zitaenda tupu.
Leo Dar Dom EMU zinaungwa set mbili mbili, on top of that wameongeza extra train na watu wamekosa tiketi
 
I understand very well. Hii ilikuwa topic ya jana. Ni wewe ndio huelewi naongelea nini
Because ni topic ya jana nisiquote? Umeona neno benchmaking na unapinga hawajaenda kujifunza. Hivi unaelewa maana ya neno benchmaking?
 
Kwenye kumbukumbu zangu hoima majani yaliota haraka sana, took only 3 weeks, but kwa hii location ya akibua pako very fertile, i am expecting to see some results in 2 weeks,

For others 😂 ongezeni nguvu kumwagilia, ila msimwage maji kwa hasira sasa, mkiona yanasumbua si mnayabembeleza 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…