Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂 BERTIN kashachafua huko mamamae. Kuanzia leo nyie wanuka mavi mukome kutaje vile vijiji vyenu in the same sentence with Arusha. Stupid kunyarendans.
 
sema hiki kituo itabidi kiwe kama Msimbazi A and B , nyomi la watu apa ukicheki zile gari za makumbusho
 
hizo screens Talanta haina za size hiyo!
Ati sceens za Talanta stadium ni 43 inch 😂😂😂👇🏾View attachment 3628500
Majirani sometimes huwa mnatia aibu sana how is it possible that you lack a sense of scale or perspective yani wazee wazima ni hadi tuwafanyie breakdown ya Relative scale of a scoreboard tuwachambulie human perception 😅.

Okay.
Big screen in small stadium- screen looks huge!
Big screen in Huuge stadium, Screen looks tiny!
Kapish?😅😅
 
😂😂😂 BERTIN kashachafua huko mamamae. Kuanzia leo nyie wanuka mavi mukome kutaje vile vijiji vyenu in the same sentence with Arusha. Stupid kunyarendans.
jamaa anazingua anapiga shots mpaka unabaki unashika kichwa, sema ndo ivo hajaingia pale stadium
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…