Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Who am I to argue with the Baboon?
 
Plus makusanyo yote ya mapato na Mamikopo lukuki, pesa wanapeleka wapi hawa watu,
Hakika kipindi cha huyu mama we lost it off big time, watu

Ujenzi wa SGR lot 6 Tabora-Kigoma umeanza kitambo. Japo wako nyuma ya muda. Rais akienda kwenye hiyo jiwe la msingi wanaweza kutoa percentage ya mradi.. labda utakuwa kwenye 20%

Naona atazindua pia bandari kavu Kigoma na Meli mpya ziwa Tanganyika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…