Reason, utaambiwa ni Google HQ, na M-Pesa monopoly.Unashangaa hiyo wakati mikutano ya serikali wanatumia Teams, Zoom meetings na email za serikali wanatumia Gmail.
Na utasikia wakijtapa wapo mbele kwenye teknolojia. 😂😂😂
Edited!
Huyu maza muda wote huu hizi slots hata zilikuwa hazijaanza na mikopo yote ile??🚮
Bongolala, that's SoFi stadium in USA. Amka utakojoa kitandani 😂😂😂wewe tu, unataka kukutana na nn kingine
View attachment 3627613
But for Arusha stadium unaongea pumba sio 🤣 🤣 sema na hio kwamba iko wazi 🤣🤣Bongolala, that's SoFi stadium in USA. Amka utakojoa kitandani 😂😂😂