Hahhaa maneno mengi alafu usikimbie humu ndani utulie HVO hvoIla Rita ni jengo hovyo sana. Jengo limejengwa tu 2012 na linakaa sura mbaya hivi? Halafu naona wabongo mnaogopa kuweka height in metres kwa sababu munajua hapo Nairobbery ni babayao. Kama Rita height yake ni 115m.. So far ni jengo moja tu la Tz lililoshinda la Kenya urefu (PSPF 2 v Times Tower) Kenya 3 Tz 1. Nakupa LéMac Tower. 25 floors 125m. kitu kimepikwa kikapikika.
View attachment 487678
View attachment 487676
Toa hili fasta uweke lingeneIla Rita ni jengo hovyo sana. Jengo limejengwa tu 2012 na linakaa sura mbaya hivi? Halafu naona wabongo mnaogopa kuweka height in metres kwa sababu munajua hapo Nairobbery ni babayao. Kama Rita height yake ni 115m.. So far ni jengo moja tu la Tz lililoshinda la Kenya urefu (PSPF 2 v Times Tower) Kenya 3 Tz 1. Nakupa LéMac Tower. 25 floors 125m. kitu kimepikwa kikapikika.
View attachment 487678
View attachment 487676
Leta jengo umeishiwa bro???
Nyie si ni wazee wa minara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila Rita ni jengo hovyo sana. Jengo limejengwa tu 2012 na linakaa sura mbaya hivi? Halafu naona wabongo mnaogopa kuweka height in metres kwa sababu munajua hapo Nairobbery ni babayao. Kama Rita height yake ni 115m.. So far ni jengo moja tu la Tz lililoshinda la Kenya urefu (PSPF 2 v Times Tower) Kenya 3 Tz 1. Nakupa LéMac Tower. 25 floors 125m. kitu kimepikwa kikapikika.
View attachment 487678
View attachment 487676
unaharibu haya mapambano.....kaa pembeni uangalie.akishindwa huyo mwenzako ndio uendelee.tunataka order hapa leoHahhaa maneno mengi alafu usikimbie humu ndani utulie HVO hvo
Dalili za kushindwa hizoToa hili fasta uweke lingene
Sisi sio wajinga
Bado halijafunguliwa hili
Tunataka yaliofunguliwa oficially
Nyie c ni wazee wa minaraDawa nishakupa. So far
1. Britam (200m) v TPA (157m) - Nairobi wins.
2. UAP (163m) v PSPF 1(153m) - Nairobi wins
3. Times Tower (140m) v PSPF 2 (153m) - Dar wins.
4. Le'Mac (125m) v Rita (115) - Nairobi wins.
Nairobi 3 Dar 1. Chezea babayao. hahaha
relax wewe....tunataka hiyo order ya kweli kwanza na nairobi walker.acha kueka vigorofa vya floor tano apaMsasani Tower. Nje na City Center
View attachment 487683
Jengo lishasimama bado kufunguliwa tu rasmi boss. acha uoga. Najua kimekuumaNyie si ni wazee wa minara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nasubiri ubadirishe jengo tuendelee
Nyie si mmeshindwa kujenga minara? Britam pekee lina mnara kwa majengo niliyoposti.Nyie c ni wazee wa minara
Ahahahaha kwahyo tueke minara?wacha pumba sasaNyie si mmeshindwa kujenga minara? Britam pekee lina mnara kwa majengo niliyoposti.
Wee la kwanza na la pili uliopost yanaminaraNyie si mmeshindwa kujenga minara? Britam pekee lina mnara kwa majengo niliyoposti.
Atakama hilo bado halijafunguliwaJengo lishasimama bado kufunguliwa tu rasmi boss. acha uoga. Najua kimekuuma
Kama unataka ambayo yako under construction mbna mtakimbiaDalili za kushindwa hizo
Badili bas tuendelee na battleJengo lishasimama bado kufunguliwa tu rasmi boss. acha uoga. Najua kimekuuma
Ok
Millenium tower
30 flr
hahaaa...mmeanza kuishiwa naona.mbona lemac ilimalizika bado kufunguliwa tu..angeeka prism ndio ungeongea.endeleeni na mchuano tuKama unataka ambayo yako under construction mbna mtakimbia
Hilo halijamaliziwa ndo mana bado halijafunguliwa
Badili jengo bro
Kama unataka ambayo yako under construction mbna mtakimbia
Hilo halijamaliziwa ndo mana bado halijafunguliwa
Badili jengo bro