kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 5,264
- 5,409
Tumechapa Tanzania mzima knock out na Westlands pekee ππLeta picha za buildings under construction wewe baboon. Si umesema uko nazo kwa gallery? Mbona usizipost tuone hizo buildings refu refu mnajenga?π€£π€£π
au sioTumechapa Tanzania mzima knock out na Westlands pekee ππ
All private.
Tukiweka the rest of Nairobi, plus affordable housing highrises, they'll have to join forces with half of Africa π
Mzizima ambayo imekuwa under construction for 9 years! π€£π€£π€£π€£mbna tushazipost apa
View: https://www.instagram.com/p/DV-gq1aDG6e/ mfano hii inafunguliwa mwaka huu
Wacha kujifariji na habari za miaka kumi iliyopita
say no moreMzizima ambayo imekuwa under construction for 9 years! π€£π€£π€£π€£
It's been under construction tangu nijiunge na hili jukwaa
Si ndo uhalisia π€£ basi leten izo glass buildings tuone io news kama ni uongoWacha kujifariji na habari za miaka kumi iliyopita
Jumba limejengwa kwa mwendo wa kobe πππ.say no more
View attachment 3622096
au wewe unaonaje mwana etu, nairobi nzima umeona kitu kama iki?Wacha kujifariji na habari za miaka kumi iliyopita
sasa apo LDC ni nan π€£Wacha kujifariji na habari za miaka kumi iliyopita
Enyewe ignorance ni mbaya. Hiyo ripoti ilisema kwamba real estate value ya dar ilichangiwa na glass buildings? Ama sasa ni mwendo wa story za vijiweni? ππSi ndo uhalisia π€£ basi leten izo glass buildings tuone io news kama ni uongo
Ldc ni nchi ambayo inachukua miaka tisa kukamilisha ujenzi wa jumba moja. Pesa haziko!sasa apo LDC ni nan π€£
View attachment 3622104
View attachment 3622105
we mwenyewe si unaona kabisa mnajenga takataka π€£
Sometimes nayo kua kwenye slum shida sana π€£ mpaka leo huelewi quantity vs quality? BTW hata kampala is worth more than Nairobi, nyie mnajenga kwa kurushia zegeEnyewe ignorance ni mbaya. Hiyo ripoti ilisema kwamba real estate value ya dar ilichangiwa na glass buildings? Ama sasa ni mwendo wa story za vijiweni? ππ
kwan tumekwambia tunajenga low quality buildings? we mwenyewe angalia this is the kidney sjui heart of naislum unategemea sehem zingine majengo yakojeLdc ni nchi ambayo inachukua miaka tisa kukamilisha ujenzi wa jumba moja. Pesa haziko!
kwan sisi tumesema chochote basiLdc ni nchi ambayo inachukua miaka tisa kukamilisha ujenzi wa jumba moja. Pesa haziko!
When I chose Westlands, I knew what I was doing. Westlands was going to beat that glorified fishing village hands down and there was never going to be any comeback from them. 32 projects (over 20 floors) in one area sio mchezo. And mind you a good number of them are twin towers. The whole of Dar slum currently doesn't have 32 buildings rising above 20 floors. They can prove me wrong on this.Tumechapa Tanzania mzima knock out na Westlands pekee ππ
All private.
Tukiweka the rest of Nairobi, plus affordable housing highrises, they'll have to join forces with half of Africa π