Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Most fuel imports for Rwanda and Burundi siku hizi hazipiti Dar zinapita Tanga.
 
Most fuel for Rwanda and Burundi siku hizi hazipiti Dar zinapita Tanga.
Wanapitisha dar, amna sku sjaona plate number za rwanda town, hata ivo sio issue sana as for rwanda wanapata cheap option, no need kua harsh on them, the deal is ok and projects za kufanya zipo nyingi tu
 
I think kati ya Keza au Musongati kutakuwa na marshalling yard kubwa sana hapa Afrika kwa mizigo ya DRC, Burundi, Rwanda, Uganda and Zambia
 
Nilichogungua ni kwamba minyamwezi hawaelewi kinachoendelea hapa
Rwanda ametoka kwenye kivuli cha G2G cha Kenya na kuanzisha G2G yake mwenyewe na Oman kama Uganda alivyojitoa. Kenya's part comes in the use of Mombasa port only; as for the pipeline owner wake ni Uganda. Hata hivyo, wakati Rwanda yuko under the shadow of Kenya's G2G deal, bado mafuta yake machache yalikuwa yanapitia Kenya pia, so hatutegemei any change hiyo ni publicity stunt tuu.
 
Dont worry too much about it, Uganda is buildings its own refinery and Dangote is in tanzania as we speak!
 
G 2 G agreement ilikuwepo na bado Kenya walikuwa wanapitisha mafuta kidogo tuu ya Rwanda sasa kinachokuaminisha kwamba Rwanda watahamishia 70% ya mafuta yao kupitia kenya ni nini?
Guys kwanini mnaipigia chapuo G 2 G Agreement. Hiyo model inafaa sana for short term. Bulk Procurement System (BPS) is the long term model na inakubalika kimataifa.


Kwanini Kenya na Rwanda wanafanya G 2 G ni kwasababu ya Financial problem ya upatikanaji wa dollar inayo wkabili. Dollars zote zinazopatikana Kenya zinalipwa kwenye madeni makubwa waliyoyaingia. So G 2 G Agreement inawasaidia kupata mafuta ya mkopo, kwamba wanaweza kuja kulipa baadae.

G 2 G is expensive maana hakuna ushindani, but BPS inakuwa ni soko huria, tenda inatolewa na wazalishaji wanashindania.

Kumbuka kwenye BPS Tanzania inanunua mafuta ya ndani na transit (DRC, Malawi, Rwanda, Burundi, Zambia and Uganda)
 
I think kati ya Keza au Musongati kutakuwa na marshalling yard kubwa sana hapa Afrika kwa mizigo ya DRC, Burundi, Rwanda, Uganda and Zambia

Bandari kavu kubwa itajengwa Misungwi Mwanza. Fela dry port approximately 45 hectors. Hii Iko chini ya TPA, pia Katosho Kigoma wame propose pale.
 
Wewe unaelewa kinachoendelea
 
I think kati ya Keza au Musongati kutakuwa na marshalling yard kubwa sana hapa Afrika kwa mizigo ya DRC, Burundi, Rwanda, Uganda and Zambia
Kalemie to kigoma ni kama miles 80 hivi,serikali ingetafuta muwekezaji akatengeneza roro ship ya kuingiza lori kama 20 tu kwa trip,ingekua bab kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…