Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

PPP bongo tumeanza kabla yenu nyie viande. Nyie ndio wapya kwenye hii game. Tafuta Kigamboni bridge ujifunze tulijenga lini. Stupid kunyan 😂😂😂
 
JM Kariuki Memorial hospital in Nyandarua County

This just a county hospital but will make their Muhibili national hospital look silly … Remember I was answering them other day that Kenya no longer has an official National hospital. We are now like the developed world… devolved system where you can get full medical services in your county or region..
 
😂😂😂 unafurahisha. Kuna watu wanakuita baba eeh.? Tz ilifanya haya mambo tangu enzi za magufuli huko. Hii ni Chato hospital Geita. 👇🏾
 
Hizi vitu alipiga magufuli bhanaa 😂😂😂 six 7 years ago. 👇🏾.. mmechelewa kwa game bhanaa.. Mtwara hospital
 
Wacha kuota wewe hospitali ya kawaida sana hiyo! Tangu kipindi cha Uhuru kitu kinajengwa na hakijakamilika!
 
Makunya huwa yanajisahau sana. Ngoja tuwakumbushe. Kwa muonekano wa hospitali Tz ni China ya EA. Hii hapa Muhumbili national hospital mloganzila. Wewe matako mwaiofhawaii hapa tunafanya hadi cosmetic surgery. Watu wanaongeza matako Bongo incase you don’t know. 😂😂 mtapata facility kaa in 2050 either.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…