Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao metro city na YK ni wa ruti gani hawa?
Soma taarifa hii hapa kwa undani zaidi

 
Fuatilia mjadala wewe Nyamwezi. Unafikiri mimi ni mpurukaji kama wewe?
ndp nmeingia kwenye mjadala sasa, nmeanza na hio then lipa sasa.. kama hamna mseme sio tunapoteza mda apa kumbe mnataka kutuonyesha slums
 
Apart from the bridge, can you support anything here with reliable sources?
 
Wakenya hampendi kuambiwa ukweli. But kila mtu anawajua tabia zenu, wala hamtusumbui
Sasa kati yangu na wewe nani hapendi kuambiwa ukweli!

Nimepost picha za Dar ukasema ni za 2008 wakati picha zenyewe zinaonyesha brt wazi kabisa. Nikikuuliza kama 2008 mlikuwa na brt Dar unakuja na povu!!! Alafu unaniambia sipendi ukweli Mitanganyika ni viumbe vya ajabu sana!
 
Sasa kama umechanganya picha za Dar za 2014 na 2008, unataka JF wakuone wewe hujitambui?
Nakusaidia tu, uwe mkweli achana na propaganda. Tanzania tuna post current photos za Kenya, wewe unatuletea TBT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…