Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,023
- 5,374
Hicho kichaka kukifyeka ni dakika mbili tu. Sijui unashangalia nini.Utaambiwa FIFA ranking means nothing. Utaambiwa club football is where the real thing is. Meanwhile kuna wakati siku haingeisha bila screenshot ya FIFA ranking humu.๐๐๐๐
Nawaweza hawa kamkubwa we kula pension sasahivi. ๐๐คIla mdogo wangu tangu nikuachie mikoba unawapiga sindano kweli kweli ๐๐๐๐๐๐๐๐
Wanajua hata namna hizo point zinavyo patikana. ๐๐๐sasa huoni mechi yeu ilikua postponed, alafu kenya na fifa wap wap, huna timu yoyote inashiriki world cup
Tuko vizuri sana, ni hii kwa ndani ya mwaka na nusu tu, je tukifika 2030?
Hata kama sio yeye thatโs pretty much an average Tanzanian that hates us to the core.Huyo ni yeye? Hicho kichwa jameni.๐๐๐
Chawa wa Ruto umekuja kutetea. ๐๐๐View attachment 3606847Oh wow kwanza nionyeshe barabara ya kuenda Arusha.
Hio barabara ya nyuma ndio una issue nayo? Iko msituni ngong forest sanctuary na majibu yako ndio haya..๐ View attachment 3606844View attachment 3606846
ni kenya i confirmedYani siku hizi unaenda kuandika upuuzi pale X because of your hatred to Kenya ๐
Punguza uongo zako, I admit we have to fix some things but also Kenya is beyond other issues..
View: https://x.com/edeseric1/status/2065168104829710743?s=46View attachment 3606692
hapa unatakiwa usubirie mtu apewe pasi kule mwisho ndo uone mechi ๐คฃ ๐คฃ au uwe unaruka ruka, apo mashabiki wakianza kukaa ndo mechi nzima haionekanFinishing and cleaning bado mbali, just imagine haitajengwa for now.
View attachment 3606743
View attachment 3606109View attachment 3606110View attachment 3606114
View attachment 3606739View attachment 3606740View attachment 3606741