Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wee lofa danganya wasiojua Tanzania. Hapo Tanzania PSV van mpya zaidi ni H100 ambayo ni model ya 1989 -2003. Yani hapo bado hiace za 1970s zinapiga kazi alafu utwambie hamnunui gari mzee? Hivi unamaanisha mara ya mwisho hiace kununuliwa hapo ni 2003 ama unajaribu kudanganya nani?

Wacha nikupe mfano, kwa hiyo picha yako uliyopost mwenye hicho ki-hiace ni H100 zile za kwanza kwanza meaning ni model ya early 90s. Utakuwa mwendawazimu kutuambia kimenunuliwa zero mileage. ni hizo ndio miongoni mwa PSV van mpya zaidi hapo bongo.

 
Mwanamke mswahili ukimsifia amependeza atakujibu “na uzuri unachangia”
Ni kwamba kitu lazima kiwe kizuri by itself kwanza ndio hata filter ikubali, miji mibovu kama Kitale hata uapply filter vipi bado utakuwa Mbovu tu. 🤣
Sasa mbona sisi tukipost picha nzuri za Kenya huwa mnasema ni filter.🤣🤣🤣
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…