Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I choose to ignore him coz I realized he’s not exposed to the world… can you imagine hapo Suluhu watu wamepangwa ka kondoo β€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
IamLee nimepitia post zako ulizoleta usiku wa manane nimeona, those shops do not qualify to be called malls. Naona unaleta utani wa Kasongo hapa.
 
IamLee umekesha usiku kucha unatafuta malls. But unatuletea liquor stores. Huku Dar hizo zipo nyingi mno. Mawella liquor store ipo mpaka kwenye SGR station

Ngoja tukuwekee real Malls.
Hii nayo ni mall? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

A mall with one vehicle parked in front and no visible foot traffic!! πŸ˜‚πŸ˜‚ At this rate, you'll call anything in Dar rising three or four floors a mall
 
Saizi tunalima kibiashara sio kwa kujikimu tena,mbegu za kisasa mbolea za kuzidi na full irrigation sio kienyeji kama huko kwenu Shinyanga.

Parachichi zetu tuna export sio za kuuza locally kama za Tanga.
Kaka mchele ya Shinyanga unabebwa moja kwamoja na Air Tanzania kuuzwa Ulaya na Uarabuni Ukitoka shambani tu. Ulishawahi kula wali wa mchele wa shinyanga kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…