Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We ni pumbavu, Toyota Tanzania walikuambia hivyo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Yani huku heri mudisplay ujinga kuliko kukubali ukweli.
 
Mna hata diagram ya nuclear power plant?

View: https://x.com/i/status/1951213762867863670

View: https://x.com/i/status/1951287044056982005 walivyo na wivu sasa,ukitaka kujua atukurupuki kama wao ndio hii,sisi tunajenga brt na kunyan wanaangaika kukopa ili nao wajenge brt,sisi tuna train ya umeme na wao wanataka tambo lao la chang'aa waliupgrade liwe la umeme,ile expressway iwapo ingejengwa TZ basi na wao saa hizi wangekua wanaangaika wajenge,TZ ukiondoa mapungufu ya viongozi lakini bado wapo makini sana
 
We ni pumbavu, Toyota Tanzania walikuambia hivyo? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Yani huku heri mudisplay ujinga kuliko kukubali ukweli.
Mnazitoaga Mombasa mnazipeleka Japan halafu ndio zinaletwa hapa? 🀑

Acha ubishi, Aliye bid na kutoa wazo la Afcon Pamoja bid ni Tanzania.
Ninyi na wale wala matoke hamkuwa na habari yoyote.
Afcon ipo East Africa kwa sababu ya Tanzania.
Mmeambiwa acheni kujizima data. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tizama hii video kuanzia dakika ya 1:42

View: https://youtu.be/HW0PUwbr81c?si=KVBtkRdATXJY3uVQ
 
Mnazitoaga Mombasa mnazipeleka Japan halafu ndio zinaletwa hapa? 🀑

View attachment 3596838
Unadhani supply chain ya Toyota ni kama ya kusupply mihogo. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wewe kama primary school dropout ufunze Toyota how to run their business. Eti waweke assembly Mombasa and fail to supply the region. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Zinazozalishwa hapo Mombasa ni ngapi? Nipe idadi 🀑
 
Ndio kama nilivyosema huyo mjinga alifikiri wao ndio pioneer wa nuclear power ukanda huu bila kujua Tanzania tupo stage gani kwenye hiyo venture wakati wao hata framework ya policy hawana, wakenya ni watu easy sana kuwadanganya na kuwapotosha ndio maana wanasiasa wao kuwadanganya mambo ya kitoto kabisa and they believe them wholeheartedly!
 
Zinazozalishwa hapo Mombasa ni ngapi? Nipe idadi 🀑
Nikupe idadi kama nani? Gari imekua assembled in Mombasa since 1977 na assembly line haijawai fungwa unadhani hawangekua na numbers Toyota hawangekua wamefunga. Wewe ni pumbavu bana.
 
Nikupe idadi kama nani? Gari imekua assembled in Mombasa since 1977 na assembly line haijawai fungwa unadhani hawangekua na numbers Toyota hawangekua wamefunga. Wewe ni pumbavu bana.
Hiyo garage kama any backyard home garage, halafu mbona barabara zenu tupu namna hii? Hivi lini mtaacha kutembea kwa miguu mnunue magari? Mombasa garage hata units 10 kwa mwezi hawafiki

View: https://x.com/i/status/2060235315000811625
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…