Who approved the purchase of these bicycle lights?🤣🤣😂🤣aina shida, leta picha zikiwa zimewaka field ikoje, alafu tulinganishe na hii
View attachment 3595330
Haki hawa jamaa wanaumia sana Kuhusu Tanzania. Nchi nzima imeamua kupigana vita vya kwenye mitandao kuichafua Tanzania.Ningeshangaa wasingeleta pua zao Tanzania ikiongelewa vizuri. 😂😂😂
View: https://x.com/jasiri_d30/status/2058939688010809737?s=46
Yani Hadi Uganda imewashinda. Endeleeni kuuza raw materials wakati wengine wanauza processed goods😂😂🤣.ok then show us your export numbers
achana maneno mengi, show us any country in the region with high export numbers than tz apart from congo, unaongea ujinga kila timeYani Hadi Uganda imewashinda. Endeleeni kuuza raw materials wakati wengine wanauza processed goods😂😂🤣.
View attachment 3595334
The problem is that wakati nchi zingine zinasonga mbele kwa focusing in industrialization, nyinyi bado mnauza raw materials instead of finished products 😂😂🤣👇👇kwan whats the problem with it?
You take time and healWho approved the purchase of these bicycle lights?🤣🤣😂🤣
View attachment 3595332View attachment 3595333
nyie mnaouza raw materials show us how much you export, is that a tough question to askThe problem is that wakati nchi zingine zinasonga mbele kwa focusing in industrialization, nyinyi bado mnauza raw materials instead of finished products 😂😂🤣👇👇
View attachment 3595337
Wana uwezo mdogo wa kufikiri unaosababishwa na ukosefu wa chakula.Haki hawa jamaa wanaumia sana Kuhusu Tanzania. Nchi nzima imeamua kupigana vita vya kwenye mitandao kuichafua Tanzania.
nchi haieleweki saaahv kama ni maadamano ama ndo daily life 😂Huko Kenya wanatukanana tu. Na kuvuruga nchi yao
View: https://www.instagram.com/reel/DYy5gcIsp_-/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
Badala ya kuona Tanzania ipo na mwelekeo mzuri waweze kushirikiana nayo, kwa sasa wamegeuka maadui wa Tanzania. 98% ya watu wanaoongea Negative kuhusu Tanzania ni wakenya. Wengine wamefungua accounts na kujifanya watanzania.Wana uwezo mdogo wa kufikiri unaosababishwa na ukosefu wa chakula.
washirkiane na nani? strictly business relations mambo ya slums yabaki uko uko mathareBadala ya kuona Tanzania ipo na mwelekeo mzuri waweze kushirikiana nayo, kwa sasa wamegeuka maadui wa Tanzania. 98% ya watu wanaoongea Negative kuhusu Tanzania ni wakenya. Wengine wamefungua accounts na kujifanya watanzania.
Tunawajua na tumeamua kuwapotezea, mwisho wa siku watachoka.
Export of unprocessed raw materials?🤣🤣🤣🤣achana maneno mengi, show us any country in the region with high export numbers than tz apart from congo, unaongea ujinga kila time
Si unawaona hata wa humu namma wanatafuta kasoro sehemu pasipo na kasoro! 😂😂😂Badala ya kuona Tanzania ipo na mwelekeo mzuri waweze kushirikiana nayo, kwa sasa wamegeuka maadui wa Tanzania. 98% ya watu wanaoongea Negative kuhusu Tanzania ni wakenya. Wengine wamefungua accounts na kujifanya watanzania.
Tunawajua na tumeamua kuwapotezea, mwisho wa siku watachoka.
Now you take time again and heal kama hutak kuleta numbers, meanwhileExport of unprocessed raw materials?🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Tunawanyosha kimya kimya.washirkiane na nani? strictly business relations mambo ya slums yabaki uko uko mathare