Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunazalisha kuwazidi
Tuna national grid kubwa kuwazidi.
Ni sisi tu tuamue kuwaungia watu..

Hamtuwezi. Kubali ukweli kaa pembeni. Kwenye hili sisi sio size yenu, walau mumtafute Uganda mpigizanenae kelele.
 
Pole kwako. I have mentioned the stadiums using that roofing system, show me any Stadium that your government can afford to build in that listπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
Same material. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎati ni affordable stadium πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama kuhesabu imekushinda, rudi shule.
Umehesabu nini hapa juu ya hii flyover ya kifusi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎcan’t you see huo ni muinuko wa barabara.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au kifusi a.k.a flyover ya bei ya jioni.?
 
Duuh elimu yenu bado changamoto , hivi distribution network ya Kenya versus tanzania Ina utofauti wa kiasi gani?
Hamna uwezo wa kujenga dam fuatitilia hata bajeti yenu ya mwaka huu ya energy uone mlivyo nyuma sana kwenye kusambaza umeme.
 
Service lane za vumbi. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Only in bngoslum.
By the way barabara zap hazinanga service lanesπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Alafu anakuambia ati service lanes ni requirements za barabara yet hao hawana hizo service lanes kwa barabara zapπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
By the way barabara zap hazinanga service lanesπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Alafu anakuambia ati service lanes ni requirements za barabara yet hao hawana hizo service lanes kwa barabara zapπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
It's a new concept to them, si unaona sahii ndio wameanza kuplan kujenga their first ever clover leaf interchange. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wako nyuma kama matako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…