Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mchengerwa ndie aliyesaign ujinga huu wa uwanja wa dodoma.
A short story of what happened: it was supposed to be funded by high prince of moroco, then mizingwe ilitokea katikati enzi za magu wazee walitaka kue na msikiti ndan

however morocoo wanajenga uwanja wa watu kama 120k ambao purely ni white elephant
 
Hiyo ya Morocco kufund huo uwanja inaeleweka na Morocco walijenga msikiti dar. Swala la Morocco kuachana na project hiyo ni baada ya kifo cha Magu kwakua Magu aliachana na ile foreign policy against morocoo kuhusiana na western Sahara, Samia na genge lake la Mkwere wakabadilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…