Ni wapi nimetaja kuanzisha? Unajua meaning ya bashing wewe pumbavu?Kwa hiyo nyang’au ndio waanzilishi wa ‘expressway’ hapa duniani?😁
sasa JNIA ina BRT tayari huwezi kufananisha na JKIA!After bashing the Nairobi Expressway, look who's copying. 😂 😂
Nyef nyef, sahii munataka kuanza kuimba wimbo wa expressway na mulikua mukitutusi ju hamna. Tunawajua. 😂 😂 😂 Let the choir begin.sasa JNIA ina BRT tayari huwezi kufananisha na JKIA!
Freedom of the media … a headline like this can never appear on a Tanzanian paper. It would be shut down…as far as Bongo is concerned , everything is running smoothly. Perfect government. So keep posting such to remind yourselves what it means to be free ..🤪
ndo nachowaza maybe premium 😂Bila shaka hiyo siti yenye kipande cha meza itakuwa inauzwa ghali kuliko hiyo nyingine 🤣🤣🤣
inaofuata si wenyewe alishasema Msigwa, ila next ni ile all african teams ya mwaka 2028 ambayo tushaweka bidDuh hawa jamaa watatutia doa AFCON 2027. Next time hamna joint hosting na hii poverty republic we should cooperate na Uganda and Rwanda in future hosting.
sasa kama raia zenyewe ni isuzu hakuna tafauti sana, ata ivo saahv wanatembea ela ya amfuta hawanaThese kina British Bulldogs wanachezea uhai wa watoto wanapandishaje watoto kwenye hizo substandard tetanus are they serious kweli?
maneno machache kazi nyingiHizi ndio chumi za kweli Eeastern Africa.
Uwanja mmoja wa mazoezi wamegive up, jina nmelisahau ila washatangazaThey have been fixing seats for 6 months now says a lot about the state of funding.
sasa nchi haifanyi exports unategemea nnVery sad indeed and yet politicians wanakula hela tuu with impunity, Africa tutafika tumechoka sana.
do you know at one point Ethiopia has a GDP of $180B and it fell to $90B in a single year?To the other twin business as usual🤣🤣🤣🤣
View: https://www.instagram.com/p/DYkK2fkDBFG/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=NTc4MTIwNjQ2YQ==
This photo reminds me of something….🤣🤣🤣
View attachment 3591817