Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni km ngapi .? 😂😂😂 huna barabara pana zaidi ya Thika.. hizo zingine ni section za mita 5 hadi kumi. That’s a fact.
Wayiaki way is a 14km Road. Alafu unaongelea Thika Road as if iko Tanzania, wewe baboon Thika Road ni barabara ya Kenya.
 
Utahangaika wee.. ila ukweli ni kwamba hakuna barabara yenye njia zaidi ya 6 kenya nzima. 😂😂😂 dodoma inazima ngoma kuanzia leo.
So hizo nimekuwa nikikuonyesha ni barabara za Tanzania? No wonder unanyonga chupa ulikunywa soda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…