Shidako ni Ushambaπππ haya sawa. Kwa hiyo ni 8 lanes road.? Hizo 8 lanes juu ya daraja la mita 50.? Sikia hakuna barabara ya 6 lanes Mombasa.. kimsingi kuna barabara moja tu yenye iko na 6 lanes in the whole of Kenya. And that is thika highway. Labda uje na story za 8 lanes in some section. Ila kwa hizo 50 meters za brigde nadhani ni vyema ukubali ukweli, hautakufa.
Hii yoote halafupipeline inaenda Tanga!
Sawa Methuselah.Hii yoote halafupipeline inaenda Tanga!
Kwahiyo kazi yako itakua ni kutafuta section za mita 5 kupost.? Haya sawa πππ kenya yote ina barabara moja tu enye iko na 6 lanes. The rest ni 2 lanes na chache hapo nairobi zenye ni 4 lanes.
Hata Turkana has an 8 lane Road. Kama hufurahishwi unaezajinyonga vile huwa unanyonga chupa.Kwahiyo kazi yako itakua ni kutafuta section za mita 5 kupost.? Haya sawa πππ kenya yote ina barabara moja tu enye iko na 6 lanes. The rest ni 2 lanes na chache hapo nairobi zenye ni 4 lanes.
Turkana inashinda Dodoma kwa barabara.Imagine dodoma mji wa juzi tu unashinda mombasa kwa barabara. πππ hiyo mombasa ni Tanga iliyochangamka.
Tanzania tulishatoka huku. Tupo kwenye BRT, unatuonesha old school development.Hata Turkana has an 8 lane Road. Kama hufurahishwi unaezajinyonga vile huwa unanyonga chupa.
Turkana
View attachment 3590473
Hata Turkana has an 8 lane Road. Kama hufurahishwi unaezajinyonga vile huwa unanyonga chupa.
Turkana
View attachment 3590473
πππ mombasa inachekesha, inazidiwa na dodoma mji wa juzi.Turkana inashinda Dodoma kwa barabara.
Hii sasa ndio maana ya railway kuingia port. Huko bongoslum railway imeishia kwa yard, wanasema imeingia port. π π π Hizi ndio vitu zinafanya Dangote achague Mombasa over anywhere else.
Hizi nazo ni nini tena.? πππ8 lane Road under construction in Kisumu. Kuna wenye wanatupigia kelele juu ya render yet hata 6 lane hawanaππ
View attachment 3590478View attachment 3590479View attachment 3590480
Hebu tuonyeshe tuone, mana unazungumza vitu usivyovijua kwa kujiamini. πππHii sasa ndio maana ya railway kuingia port. Huko bongoslum railway imeishia kwa yard, wanasema imeingia port. π π π Hizi ndio vitu zinafanya Dangote achague Mombasa over anywhere else.
Kama Mombasa inazidi Dar is slum, sasa Dodoma ndio itawezana? By the way ebu tuonyeshe hiyo 8 lane road unaongelea.πππ mombasa inachekesha, inazidiwa na dodoma mji wa juzi.
Something that you can't get in any city in Tanzania outside Dar.Hizi nazo ni nini tena.? πππ
Mkishaanza kujenga BRT ndio tuongee.Something that you can't get in any city in Tanzania outside Dar.
Hapa ni Unguja Zanzibar. Upo na swali?Something that you can't get in any city in Tanzania outside Dar.
Hapa ni maporini Dodoma - Upo naswali jingine?Something that you can't get in any city in Tanzania outside Dar.