Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sasa tatizo wewe unakua as a woman, unatakiwa utucheke kama mna good seats sasa wewe una same seats alafu kinachokuchekesha nn
Kinachonichekesha ni kwamba mtu aliwadanganya ati mtakuwa na foldable seats.

Lakini hii ndio iko ground 🤣😂😂
 
endelea kusubiria ivo ivo totooo, tushasema its Tanga or no refinery at all for the region and ruto knows that
Hiyo pia uliambiwa na your insider mwenye alikuambia Arusha Stadium itakuwa na foldable seats?🤣🤣😂👇👇

 
Hii ndio inaitwa "saving face". Just notice how Dangote has avoided mentioning anything concerning the refinery. 😂 😂 😂
Wamebembelezana na Dangote kweli kweli but it seems Jamaa is only focused on building the refinery in Mombasa🤣🤣😂
 
Wamebembelezana na Dangote kweli kweli but it seems Jamaa is only focused on building the refinery in Mombasa🤣🤣😂
When he talks about setting the refinery in Mombasa, anapeana very valid points such as a deep sea port, oil consumption and a big economy. Huko bongoslum wameambiwa wakona stable currency and if he wants to invest atafikiria kuwahusu. 😂 😂 😂 😂 Ni mbaya.
 
Onyesha wapi kasema deep port? BTW hata EACOP ilikuwa hivihivi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…