kumbe grass hamna ni AI!
Could be! Ila utakuwa ujinga sana.kwahiyo wafanyakazi wanaenda kukaa badala ya kufanya kazi? Kaka kubali yaishe! Usipatwe na heart attack!
π Nyani haoni Kundule
Walishamaliza kubadilisha seats and they are just bakuli seatsπππ€£Young lady pitia some posts nyuma of the stadium zikiwa na seats zmebadilishwa on certain rows
Siku hizi Tanzania tunatumia rangi nyeupe?
VS
Your insider informant alikudanganyaπππ€£πππSasa kinachokuchekesha nn na una same ugly seats
Have you ever seen a clean construction site?πππ€£VS
Ila mbona kwenyu kuchafu?
Have you ever seen a clean construction site?πππ€£
Ebu type maoni yako hapaπππ€£ata hatuelewi mm nliskia wengine walisema ni temporary ila mpaka sasa tunaona uwanja nzima umepigwa bakuli
Ulitaka Goal line technology ubandikwa kwa ukuta ama? Those are final detailsπππ€£vp washaanza kuweka VAR ama Goal Line tech?
Embakasi tena? Naona ushachanganyikiwa na plastic seats ππ€£π€£πππebu tuonyeshe za pale embakasi, seams wana seats nzuri zaidi
Vile Tu nilikuambia, Foldable seats ziko Tu VIP section just like Siaya Stadium ππ€£π
Kwani kuna penye tuliwaambia grass ishamea?π€£π€£πkumbe grass hamna ni AI!
So hapa sio Tanzania?π€£π€£πππSiku hizi Tanzania tunatumia rangi nyeupe?
sasa huoni kama uko kama chizi sasa, you were supposed to have better seats so that you can laugh at us, sasa una sames seats alafu unatucheka tena