Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ambia huyo mbwa nairobae!
 
Bro, the people who were killed during your last year's elections are more than the total number of people who have ever been killed in all Kenyan elections combined since independence.
Sit down.
 
Teargass lakini hawa majamaa wangewekewa foldable seats sijui tungejificha wapi. Ingekuwa kama ile siku Taifa stars ilivuka Harambee Stars kwa rankings. 🤣 🤣 🤣
Saa ngoja uone vile wanataka kuchange gear kuhusu bakuli seats, they will tell you how it's the best seats to ever been invented since the agrarian revolution 😂😂🤣
 
Mtu akiwasoma hawa wakazi wa kibera humu anaweza kudhani Kenya ni Sweden,Switzerland fulani hivi. Kumbe third world country fulani ambayo njaa ni kawaida kabisa maisha yao yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…