Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaamini wafaransa? Walitutoa kwenye reli hao kuhusu Bagamoyo Port tukakataa offer ya China si watu wakuwaamini hao bahati mbaya wazungu maneno mengi hela kidogo ikitoka inatoka na masimango mengi na dharau.
wacha visingizio bagamoyo port sababu ni Magufuli! France anahusika vp?
 
Unajua kitu kinachoitwa mixed economy au umezoea kukariri tuu?
Mixed or not, the prosperity is driven by the capitalism part. Nyinyi on the other hand you want full control of your economy by the government so you can receive handouts. That’s communism and no nation in history got rich that way …even China had to change ways
 
Hutaki tena kuongelea NSE? Ngoja nikuache maana aibu umeipata. Naweza kukuongezea hapa Tanzania kuna kitu kinaitwa Unit Trust of Tanzania (UTT AMIS). Ni mashine kali sana. Kenya kitu kama hiki hakuna
 
Hakuna kitu mumefanya kitambo, you don't even have a proposed site. Huyo head of IAEA hata sidhani amewai fika bongoslum. 😂 😂 😂
Mr. Gashaw Wolde, the IAEA Deputy Director General and Head of the Department of Technical Cooperation, officially visited Tanzania from February 2 to 6, 2026. During his visit, he met with Tanzanian officials to discuss ongoing collaborations in cancer treatment, agricultural advancement, and the country's developing nuclear energy program.
 
DEPUTY 😂 😂 😂 So where is your proposed nuclear site?
 
yes, and most of them who dont follow are banned
 
Thats beyond of your scope because you only listen what the media has to tell you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…