Hao ni British Bulldogs tuu haki yao kufokewa na mambwana zao ndio wanapenda hivyoTanzania hawezi akaongea ujinga huo. Kwanza tu anakutana na watu wanafanya vitu kwa utaratibu, kuongea vitu ovyo ovyo anaona aibu mwenyewe. Sasa Macron anawatukana kama tupo kwake. Shame on you Kenyans
Tanga is a shallow port.weka hapa port data on depth and berth length kama hujakimbia mwenyewe.
Kwahiyo Sasa hivi Tanga Port inapambana na Mombassa Port. Nilikuwa sijui.Tanga is a shallow port.
Hiyo venue tu ipo kama banda la bata bukini π Kenya ipo nyuma kwenye kila kitu na bado Bomas mpya wanayojenga technically ni kama josho la kufumigate cattleYani anawafokea nyumbani kwao duh hawa ndio kina British Bulldog haswa π€£π€£π€£
New MTRH in Eldoret is 20 times bigger and already under construction
historia kwenye matibabu na capacity building? acha upuuzi na kufanya siasa kwenye kila kitu!Wavunje kote lakini sio zile wodi zetu pendwa Mwaisela, Kibasila na Sewa Haji. These zina historia hapa TZ.
Macron anataka kuwazaba wakenya vibao live, Ruto kakodi watu wa kupiga makofi muda wote akidhani ni kind of good welcoming gesture according to the bush Kunyaland mentality and whites bootlicking culture! π’
View: https://x.com/i/status/2053835409554038956
Wow Kibos will be massive.Housing projects lining up in Kisumu. Hapo hawajaweka Makasembo and Anderson projects which are the biggest in Kisumu.
View attachment 3587212
Alikodi watu wakuneutralize wantam chants incase watapopping up akijua anadeal na tribalists wenzao kumbe ni international community ambayo haijozoea noise pollution πKasongo amejaza mamluki wa kumshangilia kama vile mikatano yake na vijembe anavyopigana na bwana Gachagua
Yeah kibos will be bigger than this (Lumumba), Lumumba 2,300 housing units while Kibos will be 2,500 housing Units.Wow Kibos will be massive.