Kitu imejengwa 1987 utaitaje modern? Ama maana ya modern ndio hujui?🤣🤣😂this is FNB stadium, the most modern stadium in AFRIKA, decided to use LED Boards below the stadium
View attachment 3579771
Refinery ni yetu,yan kunyan wakae wakitambua mafuta yatakayoenda kwao ni ya kwao pekee,wasitegemee mafuta ya uganda au kwingineko yataenda msa baada ya uchakatuajina Refinery yenyewe ata sio yao
When was Amahoro built and how is it now? unadhan stadium wanaziweka zichakae kama zile takataka zenuKitu imejengwa 1987 utaitaje modern? Ama maana ya modern ndio hujui?🤣🤣😂
Cricket is a game of 12 nations. So hiyo 34th position is nothing to me🤣🤣😂👇👇Ushamba unakusumbua
View attachment 3579772
Haha hawa wanajua kuwa vvip Tanzania watu wanalipa 250,000 tsh au 12,500 ksh🤣🤣🤣VIP Ksh 2,000 si sawa na Tsh 40,000. Haki hawa jamaa ni maskini wa kutupwa
Exactly you also excel at HungerNone of the top 10 sports you have listed Tanzania excels at😂😂😂
🤣 Ata hunger is watched in kenya onlyCricket is a game of 12 nations. So hiyo 34th position is nothing to me🤣🤣😂👇👇View attachment 3579774
So Amahoro ndio role model yako? Standard zenu ziko low Sana😂😂When was Amahoro built and how is it now? unadhan stadium wanaziweka zichakae kama zile takataka zenu
Amahoro ndo the only CAT 4+ stadium ilopo in the region na ndo role modo wa region nzima, wewe role model wako anatakiwa kua uwanja wa Majaliwa Mtwara Ligi la CAT 4 bado hujafikaSo Amahoro ndio role model yako? Standard zenu ziko low Sana😂😂
Acha kudanganya watu Cricket ipo na members more than 100 countries:Cricket is a game of 12 nations. So hiyo 34th position is nothing to me🤣🤣😂👇👇View attachment 3579774
Wapi terrace ya 1000 hapo? Bongoslum 1000 ni VIP.
Wapi terrace ya 1000 hapo? Bongoslum 1000 ni VIP.
Mentally retarded to be precise…So CAF ndio siku hizi unasema which stadiums modern and which ones are not? You are an idiot 🤣🤣😂
Hahaa mkiwa na uwanja mmoja?
Final hampati Buda nyinyi jiandaeni na kuchezesha mshindi wa tatu
Kama kuhost Finals za CHAN Kasarani iliwalemea, AFCON ndio mtatoboa Talanta ikiwa 🤡😂😂Hahaa mkiwa na uwanja mmoja?
Final hampati Buda nyinyi jiandaeni na kuchezesha mshindi wa tatu