jamaa wana roho mbaya! Ila uzuri huwa wanaangukia pua! Rostam si mjinga kuweka mitambo yake pale! Naamini atakuwa wa kwanza kuanza kujenga gas pipeline kabla ya hata huo mpango wa Mozambique kufanikiwa1hio gas hopefully itapitia njia ya india ndo irudi mombasa because lazima tule ela apo
uzuri wa gezi ya rostam unaweza kupikia ata kwenye skybox au unasemaje Teargass mwaiofhawaii nairobae Nicxie nyie vifurushi hamtaki kupika kwenye skybox?jamaa wana roho mbaya! Ila uzuri huwa wanaangukia pua! Rostam si mjinga kuweka mitambo yake pale! Naamini atakuwa wa kwanza kuanza kujenga gas pipeline kabla ya hata huo mpango wa Mozambique kufanikiwa1
kila siku nakwambia malizia news, sema Gulf energy has started drilling
umekua mpole sana sio kawaida yako, tutawapa hio refinery sawa Mrs Fala?This side of Kisumu will be the new CBD.
A new 25 floors commercial building has just broken ground next to the topped out Anderson and Lumumba projects.
View attachment 3579579
weka news ikae mahali pake