Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawaamini kwenye kumiliki brands zao wenyewe, wana amini kwenye kuletewa kila kitu hawa kondoo.
 
😂 Hii Talanta itafanya hio Amuharo yenu ionekane kama kibanda, na bado hatujaweka hybrid pitch na Media Facade lighting, utadhani Allianz Arena
View attachment 3574049
alafu hizo LED amahoro wameziweka mwaka wa 6 sasa, ndo imefika kenya saaahv nyie mnaziona basi ndo kitu cha maaana 🤣 🤣 🤣 and BTW amahoro seats are FOLDABLE sio kama hii takataka
 
alafu hizo LED amahoro wameziweka mwaka wa 6 sasa, ndo imefika kenya saaahv nyie mnaziona basi ndo kitu cha maaana 🤣 🤣 🤣 and BTW amahoro seats are FOLDABLE sio kama hii takataka
Tanzania kuna stadium yoyote with a LED advertising board on the terraces?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…